Tuesday 17 June 2014

KWA NINI WADADA HAMUACHI KUVAA HIVI,NI MTINDO WA WAPI HUU?

Hali ya mitindo ya mavazi kwa dada hapa
nchini kwa sasa imekuwa gumzo
kutokana na baadhi yao kutumia vibaya
uhuru tulio nao,kwa sasa kuvaa
nguo fupi na kutembea barabarani ni kitu

cha kawaida.kutokana na hali
hiyo dada zetu wa vyuo mbalimbali nchini
wamekuwa wakivaa mavazi hayo na
kupiganayo picha, ambapo kitu hicho
kimekuwa
kikiwaharibia sifa zao kwa
siku za hivi karibuni. Na kutokana na tatizo
hili wazazi wetu tunapaswa kuamka sasa
na
kulivalia njuga swala hili la watoto wetu
kuvaa nguo fupi na kupiga
picha za nusu uchi