Sunday 22 June 2014

NAWAPENDA WANAUME WENYE SIFA HIZI......SOMA HAPA KAMA NI MMOJAWAPO NITAFUTE NIKUPE UTAMU WANGU




Hii kitu imenitokea sana mara nyingi 
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana
hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town 
Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lkn hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatiz