Monday 23 June 2014

HAKUNA RAHA TAMU DUNIANI KAMA KUPENDWA UNATAKA PENZI LAKO LIWE IMARA SOMA HAPA


1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni 
ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo ila kelele zinazopigwa ni zile za raha zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza kuona
anapandisha na kuikuza sauti. Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno pindi raha zinapozidi,

2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua mwanamke anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake wengi hubainika kufika kileleni pindi raha zinapo wazidia na wanapo kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta hutumia nguvu
nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka wanapomaliza kukidhi haja yao katika hili pia unaweza kumuona mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua ya kukung'ata meno ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya vitu bila kutarajia.

- Naamini somo limeeleweka na kwa hizi dalili chache sidhani kama ikitokea mwanamke wako akifanya moja wapo kati ya hili kwako itakuwa 
kama suprise ni vitu vya kawaida katika mapenzi na jinsia zote mbili zina haki ya kuridhika katika sehemu ya kusex. Ushauri wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi mazuri kabla ya tendo kwani siku zote huwezi kuplan kujenga nyumba bila kuwa na
msingi na kwenye mapenzi pia huwezi kufanikiwa kumridhisha mwenza wako bila kumuandaa.