Wednesday 25 June 2014

WAKUBWA TU: DUNIA SASA KUSHNEI, SASA MABENCHI YAGEUZWA GESTI...!! WAFANYA MAPENZI HADHARANI WAKIDHANI HAWAONEKANI !!

HAKIKA  HUU NDO MWISHO WA DUNIA........HUU  NI  UCHAFU  AMBAO HUFANYIKA  KATIKA  GARDEN MOJA IJULIKANO KWA  JINA  LA  MURILO.......HUKO KENYA

Ni  kitovu  cha uchafu,  laana, maasi  na  dhambi  zooooooote   unazozijua  hapa duniani........

Hiyo ni  kambi ya Vigogo,wanasiasa  na  wasanii  mbali mbali  toka  Tanzania, Kenya na Uganda.......
Kahaba  ni kahaba tu......Malaya  ni  malaya tu.  Hakika  wanadamu tumeasi.Iko haja  ya  kumrudia  mwenyezi mungu........
 Kitovu  cha uchafu huo kipo Kenya.