Friday 27 June 2014

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOPELEKEA KUTOKEA KWA MAUMIVU MAKALI UKENI WAKATI WA TENDO.. BOFYA HAPA KUPATA SOMO

Wapenzi wa safu hii hususan kwa wanawake napenda kuwaelezea Sababu kuu inayopelekea mwanamke kusikia maumivu makali sehemu ya uke pindi akiwa anakula raha na mwenzi wake chumbani. Kabla sijaanza kuelezea sababu napenda ifahamike kuwa hakuna mwanaume mwenye
uume wa kumuumiza mwanamke wakati wa tendo kutokana na maumbile ya mwanamke na mwanaume katika sehemu zao za siri, kwa kile usicho kifaham nikwamba njia ya uke wa mwanamke ni Mrefu urefu wake unaweza kuwa sawa na urefu wa rula na istoshe njia ya mwanamke
hutanuka sasa sidhani kama kuna uume unaweza kupita katika uke na ukamuumiza mwanamke labda kwa msichana ambae bado hajawah kufanya mapenzi (BIKRA) Kwa mara ya kwanza anaweza kuhisi maumivu makali kutokana na kutozoea kile kitendo pia mwanaume anapoingiza uume katika uke wa mwanamke ambae ni bikra moja kwa moja anakwenda kuchana ngozi ambayo ipo
kama utandu kwa mwanamke ambae ni bikra na kupelekea kupata maumivu makali kwa mwanamke huyo... TUTAENDELEA KESHO...