Saturday 21 June 2014

Ile unaingiza tuu mara mashine inalala au unamwaga fastaaaa....sasa fanya hivii Wakati wa tendo la ndoa

                               JINSI YA KUJICHELEWESHA KUPIZ.
 
Wakati wa tendo la ndoa chukulia kuwa hatua ya kupiz ni hatua ya 10
hivyo uonapo upo katika hatua ya 7 na unaelekea kupiz jibane kwa mtindo ule wa kuzuia
mkojo. Jibane kwa sekunde 10 (sawa na kuhebu 1-10) wakati huu acha kuchezesha kiuno kabisa na badala yake mbusubusu mpenzi wako
kwa kuwa utakuwa bado umesimamisha na ndani ya uke wa mwanamke,mwanamke atakuwa anandelea na safari ya kwenda kileleni japokuwa utakuwa umeacha kuchezesha kiuno. Baada ya sekundi 5
kwisha endelea kuchezesha kiuno na uonapo tena unakaribia kupiz jibane kwa njia ile ile uliotumia mwanzoni. Unaweza kujibana namna hii mara 2 hadi 3 mpaka uone kuwa mwanamke amekutangulia kupiz.

TUKUTANE BAADAYE KIDOGO WADAU UTAMU BADO UPO MWINGI SANA.