Wednesday 26 July 2017

Blac Chyna achanwa katika ngoma na Ex wake

Blac Chyna anaendela kupokea kichambo kutoka kwa mpenzi wake wa zamani rapper Pilot Jones.


Muimbaji huyo amemchana Chyna kupitia ngoma yake mpya ya ‘Flossin’ na tayari video imeanza kutengenezwa na model ni AzMarie Livingston.



Katika mistari ya ngoma hiyo Pilot amesema kuwa amekuwa mtu mzuri bila BC…. na sio mtu ambaye ana mambo mengi kwa sasa, katika ngoma hiyo cha kuvutia amemtaja dhahiri shahiri mrembo huyo kuwa alimfanya atamani kujiua kwa kukosa penzi lake, lakini sasa amekuwa mtu mzuri.