Wednesday 26 July 2017

Aliyemuita David Kafulila Tumbili Aibuka

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema ameibuka na kueleza juu ya kauli yake ya kumuita 'Tumbili' Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila

ni siku chache Tangu Rais John Magufuli kuwaeleza kwamba waliomuita Mbunge huyo Tumbili wao ndio watakao kuwa matumbili

walema amempongeza Kafulila kwa ujasiri wa kutete Maslahi ya Umma na kwamba alionyesha uzalendo wa hali ya juu unaopawsa kuigwa.

Walema ameeleza kuwa watu hawakuelewa alichomaanisha na kwamba alieleza kuwa" tumbili haamui mambo ya msituni, na huo ni msemo wa kawaida tu"