Yule mkali wa bongo, mkali wa sauti king kiba, kaachia ngoma ambayo haitamwacha mtu salama ngoma inakwendwa kwa jina joho tena
Hii ngoma ni noma mazee naona simba mwaka huu watAkula nyasi kudadadek
LONDON BABY
SIKILIZA HAPA NGOMA YAKE MPYA: