Wednesday 28 January 2015

WADAU HUYU MREMBO KANISHANGAZA SANA, HARIDHIKI...!! NIFANYEJE...??

Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na
siku 3 tangu afike.Cha kushangaza kila siku anataka tufanye mapenzi , nilijitahidi kadiri ya uwezo wangu kumridhisha lakini wapi bado haridhiki, admini naomba ushauri nifanyeje?