Tuesday 27 January 2015

HAYA NDIO MAISHA YA CHUO, KAMA HUJAPITIA UJUE UMEPITWA KIDOGO NI VICHUPI NJE NJE, TAZAMA HAPA

Wanafunzi wakijipiga picha Bafuni Hostel Kwakweli maisha ya chuoni ni experience tosha, kuna kila aina ya mambo mi naamini kama umepitia
maisha ya chuo, umeshakaa hostel

basi utakuwa umejifunza mengi sana, na hakuna jipya baada ya hapo. Wapo watu wanaokuja chuoni wakiwa wapole na watiifu, lakini wape muda tu kidogo utaona mara tayari ana boyfriend mara tayari nae ameshaanza kwenda club. 
Mambo ni mengi

sana Vyuoni, kama mpenzi wako ameenda chuoni ujue kuna kazi hapo ndugu yangu muombee tu MUNGU amlinde, vishawishi ni vingi na kuepukika ni ngumu sana inahitaji ujasiri mno. YABIDI KUWA MAKINI TU