Friday 23 January 2015

Furaha kwa Paul wa P Square na mpenzi wake Anita…

paul-okoye2P Square ni moja ya  makundi ambayo yanafanya vizuri kwenye muziki Afrika, leo kuna story kutoka kwa Paul Okoye na Anita ambao ni wapenzi.

Mwaka jana 2014 Paul na Anita walifunga ndoa ya kiutamaduni lakini jana January 22 walifunga ndoa rasmi ya kiserikali.
Furaha ya Paul haikuishia hapo, tumeona mastaa wakijinunulia magari ya kifahari kamaDavido na Range Rover zake, Paul kajinunulia pikipiki pya aina ya BMW.
Ilikuwa simple tu, nimekusogezea pichaz za shughuli yao hapa.
.
Paul na Anita Okoye baada ya ndoa.
Anita-Paul-Registry-3 (1)
Anita-Okoye-3-600x594
PeterPaul na Anita Okoye.

.
Anita.
Anita-Okoye-1-596x600
Anita-Okoye

Biyc
Hii ni pikipiki brand ya BMW aliyojinunulia Paul jana.