Monday 19 January 2015

HUMBU TUAMBIE UNAPENDA COUPLE IPI KATI YA CHIBU NA ZARI NA VANNESA MDEE NA JUX?

DIMONDDDDDE
Zee n Mondi

Vee Mtonyo na Jux


mahaba nitetemesheeee kama umemeee



Kohokohooooo, leo ni mambo ya maloveeee, couple ipi kati ya hizo mbili unayoipenda?? naomba kama kuna nyingine unazozijua za uhakika please ututajie ila si za uzushi, kuna watu wameniomba niandike hii ila wakaongeza ya Kajala na Quick Rocka ila kwakuwa sijathibitisha sija add hapo, haya na wewe unaweza ukatoa mawazo kama una couple unayoijua nzuri, kama huna jimwage kati ya hizo mbili…… ipi nzuri???  watu na ma baby zao wenye vifua haswa sio kifua mosquito chest kama wewe ndo wa mosquito chest usionee wenzio wivu kitulize kama mabaga fresh….