Friday 23 January 2015

MSANII WA BONGO MOVIE TIKO AKATAA KUITWA GOGO

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan amesema hakuna kauli ambayo haipendi kama kuambiwa si hodari wa mapenzi (gogo) wakati
anajiamini yupo vizuri katika sekta hiyo.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Tiko Hassan.
Tiko alifunguka kauli hiyo alipokuwa akifanya mahojiano na paparazi wetu na lilipofika suala la malovee, Tiko aling’aka vibaya mara baada ya kuambiwa kuwa kuna marafiki zake wanamuita gogo.

“Wee nani kasema? Sipendi kuitwa hivyo wakati mwenyewe najijua kabisa ninakuwaje pindi ninapokuwa na mpenzi wangu, najiamini kweli,” alisema Tiko.