Saturday 17 January 2015

NIMEMKAMATA MKE WANGU NA JAMAA ALAFU ANANIAMBIA NDIO ALIYE MTOA BIKIRA


Nimemkamata mke wangu na jamaa alafu ananiambia ndio aliye mtoa bikira eti huwa hamsahau kila wakikutana huwa anampa ..Jamani jamani kuna haki hapo kweli....
Kwani wanawake wote ndo wako hivyo ?wanapokutana na walio watoa bikira wananyewe kama mbwa kaona Chatu...Ama mchaga wa kishimuda na we niagushe tuuuu...? Naomba ushauri jama