Tuesday 9 September 2014

LULU ADAIWA KUWA NA UBABE NA KISIRANI CHA KUTODUMU NA MWANAUME, TAJIRI WA MADINI ASALIMU AMRI.

Uwoya

Star wa filamu Swahiliwood, Irene Uwoya inadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka
na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu.
Inadaiwa kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene bali hupenda wenye miili ya kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa sita na mwenyewe huvtiwa nao sana. Chanzo kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza na Swahiliworldplanet jana kilisema "Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua Uwoya , yeye hana time nao sio type yake, yeye anapenda wanaume wenye vifua vya mazoezi na wasio na vitambi ndiyo rahisi kunasa penzi lake, yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita kwa sita" kilisema chanzo hicho huku kikiangua kicheko cha aibu.

Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia hilo lakini takribani mwezi sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi.