Tuesday 9 September 2014

Hii ni kwa wale wa Davido, baada ya ‘Aye’ ndio kaiachia hii ft. Dj Arafat

Screen Shot 2014-09-10 at 3.08.57 AMNi mkali ambae shavu lake kwa Diamond Platnumz halitosahaulika na Mtanzania yeyote aliefikiwa nalo, baada ya hit single yake ya ‘Aye’ right now ni time ya
kusikiliza single yake mpya inaitwa ‘naughty’

Davido new songUmeionaje hii single? niachie maoni yako kwenye comments mtu wangu