Monday 8 September 2014

AIBUUU...MAMA MTU MZIMA AJIKUTA AKIVUA NGUO MBELE YA WATOTO BAADA YA KUNOGEWA NA KIGODORO...(18+)


Pichani juu na chini mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina la Mama Abdul akijiachia na kumwaga radhi bila uoga.



Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri juzikati, majira ya mchana kwenye kigodoro mbele ya watoto waliopokea ekaristi takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Monica lililopo maeneo ya Kihonda mkoani hapa.

Mke wa mtu, Mama Abdul akiwa na rafiki yake.


Mke huyo wa mtu alimwaga ‘lazi’ hizo kwa kushirikiana na mdogo wake wa damu aliyefahamika kwa jina moja la Jacqueline wakati wakimpongeza mtoto wa rafiki yao aliyepokea ekaristi.
“Unajua walikuwa wanatumia kigezo cha ‘ananijua nani pande hizi’ kumbe wanajishushia heshima na shughuli yenyewe ni ya kikanisa,”