Wednesday 10 September 2014

BAADA YA KUSHIDWA MAPENZI YA DIVA CHAGGA BARBIE,PREZZO AAMUA KUTULIA KIMAPENZI NA MREMBO ASIYE NA UMAARUFU

Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na msichana asiye na umaarufu wowote.


Rapper huyo kutoka Kenya ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram na kuandika: “My 1st & only #WCW #Rapcellency #TrulyUnruly.”