Thursday 11 September 2014

FURSAA..!! NAFASI ZA KAZI ZA MITINDO NA UIGIZAJI..SOMA ZAIDI KUJUA JINSI YA KUPATA NAFASI

Wewe ni msichana mwenye kipaji cha mitindo lakini haujui uanzie wapi? Wewe ni msichana mwenye kipaji cha kuigiza ? Unatafuta nafasi ya kuigiza kwenye
filamu ? Kama jibu ni ndio basi hii ni habari njema sana kwako. 


Kampuni inayo jihusisha na ku- manage wanamitindo pamoja na wasanii wenye vipaji mbalimbali inatangaza nafasi za kazi zifuatazo : 


A. WANAMITINDO WANAWAKE ( FEMALE MODELS ) 
Sifa za wanamitindo wanao hitajika : 
i.Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea. 


ii.Awe wa jinsia ya kike 


iii.Awe anaweza kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za Kiswahili na kiingereza. 


iv. Awe na passion na kazi ya mitindo. 


MAJUKUMU YA KAZI : 
Kufanya kazi za mitindo katika projects mbalimbali za kampuni zilizopo ndani na nje ya mkoa wa Dar Es salaam pamoja na nchi jirani.


B. WASANII WA FILAMU. 
Sifa za wasanii wanao hitajika : 


i.Awe wa jinsia ya kike. 


ii.Awe na kipaji cha ukweli cha uigizaji. 


iii.Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea. 


MAJUKUMU : 
Kushiriki katika filamu mbalimbali zinazo tolewa na kampuni mbalimbali za utayarishaji filamu. 


JINSI YA KUTUMA MAOMBI YAKO 
1. Andika maombi yako kupitia barua pepe yetu ambayo ni : neemarecruitmentagency@gmail.com 


Maombi yako yaelekezwe kwa Mkurugenzi Mtendaji, Neema Recruitment Agency. 


2. Leta maombi yako moja kwa moja katika ofisi zetu zilizopo katika eneo la CHANGANYIKENI karibu na CHUO CHA TAKWIMU mbele ya CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. 


JINSI YA KUFIKA OFISINI KWETU : 
Kufika ofisini kwetu panda daladala za UBUNGO-CHANGANYIKENI kisha shuka kituo kinaitwa TAKWIMU ukifika hapo tembea hatua ishirini mbele kisha tazama upande wako wa kulia utaona ofisi imeandikwa RAEFO TANZANIA. 


Kwa maelezo zaidi piga simu 0784406508.