Monday 8 September 2014

MADEMU PUNGUZENI TABIA YA KUOMBA OMBA KWA WANAUME... MMEZIDI SASA NA HIYO TABIA

Wadada badilikeni jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia coz ni kawaida yako, Hii tabia ndio inafanya
mnamegwa ovyo ovyo

Wengine sasa sio hata kwa boyfriend tuu yaani yeye asikuzoee kidogo tu kosa kesho yake ataomba hela. Ombaomba Siku Hizi Hawapo Barabarani tu Hata Kwenye Simu zetu Wapo Jamani ..
 

Hii ni tabia mbaya jamani tubadilikeni hata siku ikitokea umeomba hela mtu anashangaa anajua kweli umebanwa coz sio kawaida yako.