Friday 12 September 2014

TAHADHARI KWA WOTE WANAOJARIBU NGUO MADUKANI KWENYE VYUMBA VYA KUJARIBIA, MDADA HUYU APIGWA PICHA AKIWA ANAJARIBU NGUO

 






Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo Dukani , Udaku Specially tumepewa siri kuwa huwa kuna kamera za siri zinafichwa kwa baadhi ya Maduka yenye tabia mbaya na kuchukua picha kwa siri..So kuweni Makini Wakina Dada 

CREDIT:udakuspecially