Tuesday 23 September 2014

OMG!!!!!: KICHENI PATI YUGONGA UKUTA BI HARUSI MTARAJIWA AONESHA MAVITUZI WALIMU WAKE WOTE WABAKI MDOMO WAAAAZI

 
 Mafunzo kwa wanandoa ni muhimu saaaaana kwa kama yatazingatiwa kwa uaminifu zaidi basi hakika ndoa nyingi zitadumu kwa muda mrefu ila sasa cha kushanga za watu wa kuwafunza wamekuwa hawana ujuzi ukilinganisha na ujuzi wal ionao wanaopaswa kufunzwa na hapo ndipo mwalimu hugeuka kuwa mwanafunzi