Wednesday 16 November 2016

Breaking: Calisah aachiwa baada ya kulala polisi kwa tuhuma ya kusambaza video ya utupu ya Wema (Video)


Breaking: Calisah aachiwa baada ya kulala polisi kwa tuhuma ya kusambaza video ya utupu ya Wema Mode Calisah ameachiwa jioni hii baada ya siku ya jana kushikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kusambaza mitandaoni video ya utupu ya Wema Sepetu.

Akiongea na Bongo5 jioni kwa njia ya simu wakati akielekea nyumbani kwake, Calisah alisema ni kweli alikamatwa toka jana kutokana na tuhuma za kusamba video hizo mtandaoni.

“Kweli nilikamatwa toka jana lakini nimeachiwa,” alisema Calisah.

Pia model huyo amesema atatoa taarifa zaidi ya nini kinaendelea kuhusu suala hilo.