Friday 18 November 2016

Albamu mpya ya The Weeknd itakuwa na nyimbo 18, nazo ni

Muimbaji wa Marekani mwenye asili ya nchini Ethiopia, The Weeknd ameweka wazi nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu yake mpya ya ‘Starboy’.


Albamu hiyo inatayotarajiwa kutoka Novemba 25 mwaka huu itakuwa na nyimbo 18 huku akiwashirikisha mastaa kama Kendrick Lamar, Daft Punk, Lana Del Rey na Future kwa mujibu wa picha aliyoiweka kwenye mtandao wake wa Instagram.

Hizi ni nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu hiyo.

1. Starboy feat. Daft Punk
2. Party Monster
3. “False Alarm
4. Reminder
5. Rockin’
6. Secrets
7. True Colors
8. Smartgirl Interlude feat. Lana Del Rey
9. Sidewalks feat. Kendrick Lamar
10. Six Feet Under
11. Love to Lay
12. A Lonely Night
13. Attention
14. Ordinary Life
15. Nothing Without You
16. All I Know feat. Future
17. Die for You
18. I Feel It Coming feat. Daft Punk