Wednesday 6 May 2015

Leo ukimgegeda, kesho yake unapata mkwanja~ (Ushirikina au Karama?)



Nimeshajiuliza sana lkn sipati jibu, huyu binti ni mhudumu wa bar, mzuri kishenzi...ila inasemekana ni HIV+....Yani ukimgegeda leo, kesho yake lazima upate pesa, watu 9 hadi sasa wameshamgegeda na wamepata cash kesho yake!!! utakuta kuna mazingira fulani hivi ambayo yatakufanya upate chapaa...kama ulikua unamdai mtu na hataki kukulipa utakuta anakupigia simu ukachukue ela yako, kama ulicheza michezo ya kubahatisha utakuta umeshinda, au unapigiwa simu tu na mshkaji wako wa karibu anakwambia"mwanangu njo nikutoe kuna deal nimepiga nimeingiza mkwanja wa maana!", au kama ni mwanafunzi wazazi wako wanakukatia mkwanja tu bila kuwaomba!!!Kuna mzee mmoja ni mtumishi wa Serikalindo haambiwi hasikii, kamng'ang'ania balaa, daily anavuta mkwanja na vyeo anapandishwa!Na mm nimeanza kushawishika kumgegeda, kwani condom si zipo? kwanza sio lazima kupata UKIMWI ukimuandaa mwenzako vizuri ili kuepuka michubuko! au mnaniambiaje wana jamvi?Hivi huyu manzi atakua mshirikina au ana karama tu???