Monday 18 May 2015

KAMA ULIKUWA HUJUI HII NDIYO SABABU YA MADEMU WENGI KUPENDA KUTOKA NA WAZEE

Nimepanda lift kwenye moja ya jengo 
maarufu na refu hapa mjinikati karibu na 
Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja 
smart anongea na simu kwa sauti ya 
maringo , upole na yenye kujiamini, 
kulikua kimya hivyo unasikia kabisa 
upande wa pili ni sauti ya kasichana 
mazungumzo yalikua hivi. 
Mzee - What do you mean..I've told you 
before not to worry it is within my 
capability usichukue gari ya chini, chagua 
landcruiser au yoyote ya juu. 
Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............ 
Mzee. - Ok no problem, njoo sasa hivi 
uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa 
NSSF niliongea na mkurugenzi wake 
akanipromse a nice location for your 
appartment. 
Anyway we njoo ukifika go to reception I 
have already reserve a place, just wait me 
in the room nina kikao na waziri 
nikimaliza nakuja. 
Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha 
bado anaongea. 
Kwa kweli niliona hamna sababu ya 
kuwasema wadada wanaotembea na 
wazee this dudes knows how to care 
jamani...... 
Vijana Siku hizi Hawajui Kuhonga zaidi ya 
Kuchafuana tu hata hela ya kununua 
sabuni ya kujisafishia hupati.