Thursday 14 May 2015

DALILI 10 ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KIMAPENZI LAKINI ANASHINDWA KUSEMA



1. Atakutega kupata attention yako.Hufanya mambo ambayo yatamfanyakuonakama unampenda au lah! Mf wa mambohayo ni kujifanya anaumwa na kuangaliarespond yako kwake ni kiasi gani unamjalina kiasi gani utahangaika kwa ajili yake au2. Haoni aibu kugusa sehemu yako yamwili. Msichana anayependa haoni aibukukushika mkono ama kukutomosa auhata kukumbatia. Kwa kufanya hivyohujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia zakushikana kwenu kutamrahisishia kazi yakuwa na wewe3. Kucheka kwa nguvu hata kwa kitukisicho chekesha endapo weweumezungumza. Mara nyingi ataoneshauso wa furaha hata kama si furaha yakweli4. Wivu.Hujisikia wivu anapokuona na wasichanawengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaitamajina ya kimahaba. Hapendi.5. Anakumbuka siku zako muhimu.Hukumbuka kama vile siku yako yakuzaliwa hatowez kuisahau kufanya ipitebila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwakama sivyo ukifaulu mtihani au chochotekatika maisha yako atakuwa mbelekukupongeza6. Eye contact anapenda kukuangaliamachoni muda wote ambao mtakuwamkizungumza pamoja akidhani kuwautaelewa ni kiais gani anakupenda kupitiavile ambavyo anakuangalia.Ila wengine huona aibu kuwatazamawavulana wanaowapenda si wote wanaujasiri wa kuwatazama wapenzi wao.7. Hupenda kukaa mmuda mwingi nawewe. Hawezi kupoteza hata sekundeukimuhitaji kwa mazungumzo. Anajisikiafuraha kukaa na wewe muda mrefubilakuchoka. Anaweza akaacha kila kituanachokifanya ili ajumuike na wewe.8. Yupo tayari kuangamiza. Kamamsichana anakupenda yupo tayarikusacrifice. Ni kitu ambacho hakuna mtuambaye anaweza akafanya kwa mtumwingine. Utaona vipi huyo msichanaalivyo kwako na wa wengine. Yaaniyupotayari yeye akose lakini wewe upate nakwa mwingine anaweza akamwambahana alichoombwa lakini akakupa wewekama pesa na vitu vingine.9. Anachukulia matatizo yako kama niyake. Unapomueleza kuwa ana tatizoanajali tatizo lako kama vile ni lake nahujisikia vibaya sana na kuhuzunika naatafanya lolote ili aweze kukusaidia utokekatika hilo tatizo.10. Mikwaruzano ikitokea katika urafikiwenu hayupo tayari kukupoteza kablahajakuambia anakupenda. Kwa kuwaanakupenda endapo ikatokeamikwaruzano basi atafanya juu chinikuyaweka mambo sawa ili asikukose