Wednesday 6 May 2015

Naolewa tu Sababu ya Mimba Yake and Not any Other Business!



Nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafikiyangu sana wa enz izo za kombolela kijijinibint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoainaendelea.........katka kumdodosa anadai hakumpenda jamaa ila tu anaolewa kwa ajili ya ujauzito wake aliobeba na kutunza heshima yake na familia........what a loosernimejaribu kumshauri ni bora akapange nyumba aishi na mwanae rather than comitting such a serious comitment with a fake heart..kagoma katakatavikao vinaendelea pale msimbazi center vya sendoff August.....mfike bila kukosa Jumapili saa tisa unusu na michango yenu....mwisho wa mwezi huu..