Wednesday 6 May 2015

Huyu naye!!!Mwanaume Nileyezaa nae haeleweki Natafuta Mwingine AnayeEleweka



Nilikuwa na mpenzi tuliyedumu miaka sita,bahati nzuri nilipata ujauzito na nikazaa salama,issue inakuja baada ya kuzaa nilifahamu kuwa jamaa kuna mwanamke kamzalisha pia na watoto wetu wamepishana miezi 2.niliamua kuachana nae na sasa mtoto anamiaka mitatu na hajawahi kumhudumia,cha ajabu mwanamke wake anani2kana sana na huyo mwanaume anatangaza kuwa menamuomba matumizi ya mtoto while iz not true.plz nisaidien niwajib nini hawa watu coz kla cku ni msg za matusi...Mimi Simtaki Tena Natafuta Mtu Mwingine anaye Aleweka Ambaye Tutapenda..Japo tayari nina Mtoto Mmoja.