Saturday 16 May 2015

HIZI NDIO NJIA TANO KALI ZA KUPATA MTOTO WA KIUME..



Uzazi wa mpango una mambo mengi sana.. sio kuzuia mimba tu ndio uzazi wa mpango ila hata kupanga idadi na jinsia za watoto ni moja ya njia za uzazi wa mpango..Watu wengi wamekua wakitamani jinsia flani za watoto ili wazae watoto wachache ila kukosa kwa jinsia waliyoipanga hujikuta wakizaa watoto wengi wakati wakitafuta jinsia husika, mpaka familia hugombana na kutengana kwa sababu hizi.Mara nyingi wazazi wa kiume hufikia hatua ya kuvunja ndoa kabisa hasa wanapokosa watoto wa kiume.Leo ntamaliza kitendawili hiki kwa kutoa njia ambazozinaweza kufanya mtu kupata mtoto wa kiume kwa asilimia nyingi…Kitaalamu mbeguzinazotoa mtoto wa kiume XY huenda kwa mwendo mkali sana kwenda kwenye mfuko wa uzazi lakini hufa haraka. lakini mbegu zinazotoa mtoto wa kike XX husafiri taratibu na huchelewa kufika na kufandani ya mfuko wa uzazi kwani mbegu hizi huweza kuvumilia hali mbaya ya kimazingira ndani ya mfuko wa uzazi wa mwanamke, hivyo njia pekee ya kupata mtoto wa kiume ni kuhakikisha mbegu hizo za kiumeXY zinakutana na mayai ya kike kwenye mfuko wa uzaziharaka kabla ya kufa..Zifuatazo ni njia hizo tano kali…1.Hakikisha unashiriki tendo la ndoa siku mayai ya mwanamke yanapokua yameshuka{ovulation}Ukishiriki tendo la ndoa siku hii ambayo yai linakua limeshuka mbegu za kiume huweza kufika mapema na kujiunga na mayai ya kikena kutengeneza mtoto{fertilization}.Kama wewe mwanamke hujui siku yako ya ovulation fanya hivi.Pima joto lako la mwili: nunua kipima joto[thermometer} na kisha pima joto lako kila asubuhi , siku ukiona joto lako limeongezeka kidogo ujue umeanza ovulation na hiyo ndio siku muhimu yakutafuta mtoto..Angalia maji maji ya uke: kawaida maji ya uke hua mazito na kuvutika kama maji ya mayai mabichiwakati mwanamke anapoanza ovulation..2.Wewe mwanaume ongeza idadi ya mbegu zako..{sperm count}Mwanaume anatakiwa aongeze wingi wa mbegu zake hasa kwa kukaa siku mbili mpaka tano bila kushiriki tendo la ndoa wakati akisubiri mwanamke wake aanze ovulation.Njia zingine za kuongeza mbegu niweka korodani kwenye hali ya ubaridi:kawaida korodani hutengeneza mbegu nyingi wakati wa hali ya ubaridi kuliko joto hivyo mwanaume anatakiwa kuepuka kuvaa nguo zilizobana sana, na kuwekalaptop kwenye mapajaacha kuvuta sigara na kunywa pombe:wanaume wanaokunywa pombe na kuvuta sigara hua na mbegu kidogo sawasawa na wavutaji wa bangi..matumiziya dawa za cancer pia husababisha uzalishaji wa mbegu kidogo sana.3.Tumia style za ngono ambazo zinahamasisha muingilio mkubwa{deep penetration}Hii huzipa faida mbegu za mtoto wa kiume{XY} kufika haraka na kufanya fertilization na upande mwingine,muingiliano mdogo{shallow penetration}husababisha mbegukumwagwa mbali na mlango wa mfuko wa uzazi hivyo mbegu huweza kukutana na hali ya tindikali kwenye uke hivyo mbegu za mtoto wa kiumekufa haraka na kuziacha mbegu zinazotoa mtoto wa kike.{XX}.4.Hakikisha mwanamke anafika kileleni:Mwanamke anapofika kileleni hutoa maji mengi ukeni ambayo hupunguza wingi wa tindikali ambayo ni adui wa mbeguzote hasa mbegu za mtoto wa kiume XY ambazo hua haziwezi kuvumilia hali ngumu ya kimazingira.5.Usifanye tendo la ndoa kabla na baada ya ovulation;Kabla ya ovulation mbegu za mtoto wa kiume XY hufika haraka kwenye mfuko wa uzazikama kawaidana kukuta mayai ya mwanamke hayajafika na kufa vivo hivyo baada ya ovulation..