Friday 8 May 2015

MAPENZI:HUU NDIO UDHAIFU WA WANAUME WA KIBONGO WAWAPO KITANDANI NA MWANAMKE



Hapa chini ni baadhi tu ya udhaifu wa wanaume wa kibongowawapo kitandani.1. Kudandia haraka haraka bila kumuandaa mwanamke2. Hakuna lugha ya mwili kutwanga na kumaliza kisha kugeukia ututani nakukoroka.3. Harufu mbaya ya kwapa au kinywa, yaweza kuwa ya pombe, sigara au kinywakichafu.4. Kumlazimisha mwanamke kulamba koni bila ridhaa yake5. Kujisafisha na shuka baada ya kumaliza6. Kutupa kondom kwenye sakafu baada ya kumaliza7. Kupiga makelele na kuuliza maswali mengi yasiyo na maana8. Kutohakikisha kama mpenzi wake amefika kileleni au ameridhika.9. Kuomba tendo kama vile anaomba kibarua cha kulima hakuna lugha ya kubembeleza10. Kutosema ahsante baada ya tendo, anamalizana kukimbilia kuvaa