Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia sio mbaya kujuliana hali na kutambulisha mambo ya msingi yanayoendelea katika mahusiano yako wewe na mpenzi wako. Hata hivyo kuna wakati watuwengine wa pembeni, wawe majirani, ndugu, wazazi au marafikiwanaweza kuwa ‘sumu’ ya mahusiano yako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya mapenzi. Makala hii inaeleza mambo ya msingi unayoweza kufanya ili kupunguza uwezekano wa rafiki, ndugu, jamaa, au wazazi kuwa ‘sumu’ ya mapenzi yako.1. Udhibiti wa taarifa kwa wengine: Kadri unavyoelezea mahusiano yako kwa watu wengine ndivyo unavyowapa nafasi watu kutoa maoni, na hata kudhani kuwa wana dhamana ya kukuelekeza unavyotakiwa kuishi na mwenza wako. Hivyo basi, chukua muda wakutosha kutafakari na kufanya uchunguzi kuhusu maswala yako ya mahusiano kabla haujaanza kutafuta maoni, ushauri kwa watu wengine. Ni bora ukasoma vitabu, na makala mbalimbali, hususani zihusuzo tabia na maisha ya mahusiano, zitafakari vema ili kuona zinahusiana vipi na unayokumbana nayo katika mahusianao yako.2. Upekee wa mambo: Tambua kuwa tabia ya mpenzi wako inaweza kuwa ni ya kipekee, mazingira pia ya tukio linalokufanya utake ushauri au maoni kwa wengine yanaweza kuwa ni ya kipekee, hivyo ushauri au maoni utakayopokea yanaweza yasikusaidie moja kwa moja katikasuluhisho lako. Ukitambua hili, utafanya bidii ya kujenga uwezo binafsi wa kuchambua tatizo unalokumbana nalo katika mahusiano na kutafuta suluhisho kabla ya kutegemea watu wengine.3. Mwenye maamuzi ni wewe: Ni kweli kuwa kuna nyakati ni muhimu kupata ushauri kutoka kwa watu wengine, na zaidi sana watu wenye uelewa sahihi na unaowaamini, hakikisha kuwa unatambua kuwa wewe mwenyewe ndio mwenye kubeba lawama ya maamuzi utakayochukua. 4. Kuwa na subira: Usichukue maamuziya haraka katika mahusiano hususani uamuzi wa kuamua kuwashirikisha watu wengine habari ya mambo yahusuyo uhusiano wako. Unapofanya uamuzi wa kuwashirikisha wengine kwa haraka unajinyima nafasi ya kulichunguza jambo kwa ufasaha hususani madhara yanayoweza kutokea kwa kuwaeleza wengine, au kama ni tatizo, basi kufikiria njiasahihi ambazo ungeweza kuzitumia kupata suluhu ya tatizo. 5. Fungua njia za mawasiliano kati yenu: Pengine chanzo cha wewe kutaka kuzungumza mambo ya ndani yanayohusu mahusiano yenu kwa watu wengine ni kwakuwa umekosa nafasi ya kuzungumza kwa ufasaha na mwenzi wako. Tafuteni nafasi za kutosha, jengeni mazingira ya kuzungumzia mambo yenu kabla ya kutaka kuwashirikisha watu wengine. 6. Kuweni peke yenu: Hata kama hautaki kueleza watu kuhusu mambo yanayoendana na maisha yenu, mazingira unamoishiyanaweza kuchangia watu kutaka kuingilia mahusiano yenu –kwa kutoa maelekezo, ushauri au maoni kuhusu muishivyo wewe nampenzi wako. Inapobidi hakikisha hamuishi karibu na wazazi wenu, ndugu au rafiki wa karibu. Au haufanyi kazi na mwenzi wako sehemu moja, kwani hiyo itakuwa njia rahisi sana ya watu kuona mnavyoishi. Inapobidi kuwa karibu na watu wengine , hakikishamnakubaliana wewe na mwenza wako namna bora ya kuendesha mawasiliano kati yenu mbele za watu, ili msiwape nafasi ya wao kumi‘soma’ na kisha kuanza waje waanze kutoa ‘maelekezo’ ya vile wanavyoona mnapaswa kuishi.7. Nenda ‘darasani’ : Kumbuka mahusiano yanahitaji sana uelewamkubwa wa jinsi ya kufanya mawasiliano fasaha, kuelewa hisiaza mwenzi wako, kutambua mbinu za kusuluhisha migogoro, na zaidi sana kufanya mipango ya muda mrefu ya uhusiano wenu. Jizoeshekusoma makala na vitabu mbalimbali vyenye kuboresha ufahamu wa mambo ya msingi kama hayo tuliyoeleza hapo juu.
MATUKIO YA SIKU
-
▼
2015
(667)
-
▼
May
(158)
- USHAURI:MUME WANGU ANANILAZIMISHA TUFANYE MAPENZI ...
- MAPENZI:SOMA HAPA JIFUNZE JINSI YA KUDUMISHA UHUSI...
- HIZI NDIO FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI KIAFYA
- HAYA NDIO MADHARA YA KUNYONYA UKE WAKATI WA KUFANY...
- HAYA NDO MAMBO MAKUBWA YANAYOVUTIA KWA MWANAMKE HE...
- Hizi Ndio Mbinu za kumuweza, Mwanamke Aliye Mgumu ...
- Nimeishi Naye Ndani ya Ndoa Miaka Mitano, Jogoo La...
- +18-PICHA ZA UCHAFU ZA MADENTI WA CHUO ZILIZOZAGAA...
- HAYA WALE MAZIGIOO HUYU HAPA MREMBO ANAETIKOSA HUK...
- KUFUMANIWA NOMA!! JIONEE JINSI JAMAA ALIVYONASWA N...
- HIZI NDIO FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI KIAFYA
- KAMA ULIKUWA HUJUI HII NDIYO SABABU YA MADEMU WENG...
- SHTUKA! Fahamu Mbinu za kutofautisha rafiki na mpe...
- Je, unajua mwenza wako anakupendea kitu gani?
- FAHAMU MADHARA MAKUU MATANO YA KULAMBA SEHEMU ZA S...
- MAPENZI:KUMBE HIZI NDIZO SABABU ZINAZOWAFANYA MWAN...
- HIZI NDIO NJIA TANO KALI ZA KUPATA MTOTO WA KIUME..
- NINAACHIKA KILA MARA KWA SABABU MSIMAMO WANGU WA K...
- HIZI NDO NJIA MUHIMU ZA KUMSHAWISHI MPENZI WAKO KA...
- SHTUKA! KWA NINI UNGOJE ANAYEKUPENDA AKUTOLEE CHOZ...
- HII NDIO SAIZI YA UUME INAYOPENDWA ZAIDI NA WASICH...
- Nimelamba Mchepuko wa Dingi, Kanipa Mambo Matamu S...
- HIZI NDIZO SABABU ZA WANAWAKE WENGI KUCHELEWA KUOL...
- DALILI 10 ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KIMAPENZI LAKIN...
- JE, UTAJUAJE KAMA UMEMKUNA MPENZI WAKO HASWA? JIFU...
- HIPS NOMA_Fahamu Wanawake Wenye Hips naShida Wanaz...
- YAFAHAMU MADHARA SABA MAKUU YA KUFANYA NGONO KINYU...
- JINSI KUZUIA MIMBA KUTUNGA BAADA YAKUFANYA NGONO B...
- MAPENZI:UKIYAONA YAFUATAYO KWA MPENZI WAKO ACHANA ...
- KAMA HAUTUMII VYAKULA HIVI, NGUVU ZA KIUME UTAZISI...
- YAJUE MATIBABU YA NGUVU ZA KIUME KWA WAATHIRIKA WA...
- SHTUKA! ZIJUE SABABU ZAWANAUME KUCHEPUKA!
- Kushiriki tendo la ndoa mara nyingi hakukufanyi uw...
- OGM! .....Irene Uwoya Releases Sexy Photos while T...
- USIJIDANGANYE MWANAUME HAKOMOLEWI!
- SEHEMU 12 ZA KUMSHIKA MWANAMKE WAKATI WA TENDO LA ...
- UKIYAONA HAYA JUA DEMU ANA UCHI WENYE KINA KIREFU ...
- Naombeni Ushauri; Mwanamke Mwenye Jinsia Mbili Ana...
- NAOMBENI USHAURI JAMANI MTOTO WA AUNCLE ANANITESA ...
- Ukiwa Nacho Lazima Uringe...Hii Ndiyo Raha Ya Mwan...
- MREMBO: MPENZI WANGU SIMUELEWI JAMANI! NISAIDIENI ...
- SHTUKA! USIWE MBULULA, UNA HAKI YA KUPENDA ILA ‘US...
- SHOGA: USIMPE NAFASI MUMEO AWE KARIBU NA NDUGUZO!
- KWA NINI WAPENZI WANACHOKANA HARAKA?
- KUTANA NA MBINU MBADALA ZA KUTONGOZA NA KUMPATA MW...
- MAPENZI: UKIMFANYIA HAYA MPENZI WAKO HATOKUSAHAUKA...
- AMESOMESHWA KUANZIA KIDATO CHA KWANZA HADI CHUO NA...
- FANYA HAYA 6 KUZUIA WATU WASIINGILIE MAPENZI YENU
- Mdada Aliyekwambia Kujua Kuzungusha Kiuno ndo Tike...
- USIRUHUSU MUMEO AFANYIWE MASAJI NA MWANAMKE MWENZIO
- The SECRETS of what WOMEN WANT in MEN
- Je, UKUBWA WA UUME au UDOGO WA UUME unasaidia kati...
- JE, WAJUA WANAWAKE WANAVUTIWA NA NINI ZAIDI KWA WA...
- HIZI NDIZO TOP 4 YA STAIRI ZA KUFANYA MAPENZI ZITA...
- Duh Duniani KUNA WATU WAMEUMBWA AISEE!! HEBU CHEKI...
- Madhara kwa Wanaume Wanaopenda Kufanya ngono kinyu...
- Kadri Mwanamke Anavyojiremba Zaidi Hamu ya Kufanya...
- Ukiwa chumbani na mwandani wako, hebu mpe mambo ha...
- Nikinywa Pombe na Kuvuta Bangi ndio Napata Raha Sa...
- Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu.
- Wakubwa Tu!Ona PICHAZ MZUNGU HUYU ANASWA AKINGONOK...
- MKE WA MSHIKAJI: Shem naomba kama vipi nije tumali...
- TAMBUA JINSI YA KUONGEZA MVUTO KWA MPENZI WAKO
- S*x Secrets | The Number One Thing Women Want In Bed
- How to Last Longer During S-3x without Any Difficulty
- Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza...
- I need advice! I really like this guy, but his ___...
- JEUNALITAMBUA HILI KUWA WANAUME MASIKINI NA WASIOJ...
- MKE WANGU SI ATANIUA JAMANI,ANATAKA TUFANYE MAPENZ...
- Ladies: How To Attract The ManOf Your Dreams
- He is always doing this to me,,,, Help Please........
- HATARI SANA! AMINI USIAMINI, UZEMBE HUU UTAKUPOTEZ...
- MADHARA YA KUTOFANYA TENDO LA NDOA KWA MDA MLEFU? ...
- NJIA ZA KUMPATA MPENZI WA MOYO WAKO.
- Love and S-3x After Children: How to Keep the Flam...
- Hakuna asiye na bahati ya kupendwa, Basi tatizo li...
- LAANA Hii!! MREMBO ACHEZA MUZIKI HUKU KACHOMEKA CH...
- Between Coming To America actress & that dress Bey...
- MAMBO YA KUTAFUTA MADEMU HUMU FESIBUKU JIONE YALIY...
- MAPENZI:HUU NDIO UDHAIFU WA WANAUME WA KIBONGO WAW...
- Nimempa Mimba House Girl Hataki Kuitoa Wala Kuondo...
- 4 PICHAZ: DUNIA IMEKWISHA! TAZAMA HUDDAH MONROE AN...
- Is this the future of Kenya? High school girls cau...
- Only 18+>>ANGALIA HII VIDEO JIMAMA LIKIZUNGUSHA MA...
- MKE WA BOSI: ALIPONIGUSA NA CHUCHU ZAKE KIFUANI PA...
- Mwanaume Akikuhudumia/Kukuweka Mjin Cha Moto Utaki...
- Haya ndo mapenzi yalivyo au?
- Ushauri jamani:Jamani Nisaidieni Kufanya Mapenzi K...
- Help Me! Nina Miaka 35 Sijawahi Kufika Kileleni
- SAHAU KUHUSU HUDDAH , ZARI NA MADEMUWOTE WAKALI WA...
- VERA SIDIKA AONYESHA MAZIWA YAKE MTANDAONI LIVE
- YULE MWANADADA ANAJIFANYA AMEZALIWA MARA YA PILI R...
- Miguno ya Kimapenzi Kutoka Chumba cha Jirani Inani...
- Only 18+- HATUA MUHIMU ZA KUFUATA UNAPOMVUA CHUPI ...
- UWIIIIII...PLEASEEEEZZ WAKUBWA TUU 21+.>> JIONEE H...
- Naolewa tu Sababu ya Mimba Yake and Not any Other ...
- Nimependwa na mpenzi wa mtu naomba ushauri
- Mwanamke: Watangulie wambea mapema kabisaa, ili wa...
- HUYU DADA ANAHITAJI MWANAUME WA KU DO NAYE KISA MM...
- Huyu naye!!!Mwanaume Nileyezaa nae haeleweki Nataf...
-
▼
May
(158)