Saturday 9 May 2015

Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri


Mwenzenu karibia naumbuka yaani 
nikiona mwanamke mwenye makalio 
makubwa nachanganyikiwa kabisa 
nakupoteza network, yaani inafikia 
mahali hata kama niko kwenye daladala 
naenda mahali akipanda mwanamke 
aliyejaliwa maeneo ya nyumba basi 
nihakikisha nashuka kituo 
atakachoshuka hata kama nikupitiliza 
napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe 
maneno mawili matatu huyo 
mwanamke . 
Hii Tabia imenifanya nipoteza muda na 
mambo mengi ya msingi katika maisha 
yangu , moja kubwa nakumbuka mwaka 
jana niliitwa kwenye interview shiriki 
moja maeno ya Kijitonyama sayansi, 
nikiwa kwenye daladala kutokea 
mwenge kwenda posta nilijikuta 
nimefika posta kwa kumfuata mdada 
mmoja, baada ya hapo nikajikuta 
nimechelewa hiyo Interview na mbaya 
zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea 
na mimi baada ya kushuka kwenye 
dalala. 
Waungwana Naombeni ushauri nifanye 
nini niache hichi kitabia?