Friday 29 May 2015

HAYA NDO MAMBO MAKUBWA YANAYOVUTIA KWA MWANAMKE HEBU AJUE HAPA


Kama kawaida yangu leo nipo tena kujadili mada hii,je wajua kitu kinachovutia zaidi kwa mwanamke, watu wengi nimeshawahi kuwauliza swali hili lakini kila mtu alinipa jibu kutokana na uelewa wake.Wapo walioniambia kinachovutia zaidi kwa mwanamke ni sehemu za siri umbo na "heshima".

Lakini mimi nina mtizamo tofauti kidogo kwa mimi nina amini kitu kinachovutia zaidi ni hivi:

Kwa mwanamke ni (IQ)intelligent quotients, yani uwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo na kufanya maamuzi sahihi.Mwanamke akiwa na (IQ) kubwa kuishi naye ni raha sana kwanza hutopata shida kumuelekeza mambo mengi,kwanza huwa ni (problem solver)hutatua matatizo yake kwa hekima sana,pili anajua kuishi na watu anafahamu(intercultural communication) ni rahisi kumsoma mtu yoyote tabia yake na akaishi nae vizuri tu.

Ukiwa nae anaweza kuishi na wewe na ndugu zako vizuritu cause anaelewa hakuna binadamu aliye perfect,mwanamke kama huyu anajua " arts of love" yani ukiwa nae muda mwingi anatabasamu na ni mbunifu wa kupalilia penzi kwa mpenzi wake na wakati mwingine ni vigumu kumjua kama akikasirika cause uso wake umetawaliwa na tabasamu mda wote.

Jambo jigine mwanamke huyu huwa ni (hard worker)ni mwanamke mchapakazi sana sio mvivu anajituma kufanya kazi ili aboreshe mazingira ya nyumbani kwake na kukuza uchumi,jambo jingine ni mwanamke anaependa kuwatia moyo watu hasa mpenzi wake anaamini kila kitu kinawezakana sio mwepesi wakukata tamaa,jambo jigine mwanamke huyo humshirikisha Mungu kwa kila jambo analofanya mcha Mungu cause kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa.

Jambo jigine ni mwaminifu kwa mpenzi wake hapendi kuchepuka,mwanamke yyote anayejielewa kwa dunia ya sasa ilivyochafuka magonjwa ya zinaa hawezi kuchepuka cause sio fashion,hizo ni baadhi tu ya sifa za mwanamke mwenyenye (IQ) kubwa,kumbuka wanawake wenyesifa hizi ni wachache cause wengi wamezaliwa nazo na unatakiwa ujue kuwa sio kila mwanamke mwenye elimu ana ( IQ)kubwa.

Kwasababu(IQ)kubwa ni power of imagination,Quick learning and problem solving,na uwezo kama huo mtu hafundishwi bali anazaliwa nao,hicho ndicho kinachonivutia kwa mwanamke,mimi siamini katika mvuto wa papuchi cause naona hazina tofauti sana,pia siamini umbo cause maumbile yanaweza kubadilika mda wowote na siamini katika heshima tu cause heshima hata mwanamke mjinga anayo.

Note:wanawake kama hawa ni wachache sana kwa hiyo ukimpata mtunze sana,timiza wajibu kama mwanaume na usichepuke.