Saturday 9 May 2015

MKE WA MSHIKAJI: Shem naomba kama vipi nije tumalizane kiutu uzima and...USHAURI TAFADHALI!


a

Wakuu weekend iliyopita nilimuaga mke wangu kuwa Nina semina nje ya Dar kikazi maana hiyo ndo huwa mbinu yangu ya kwenda kwenye dhambi zangu kwa siku tatu NNENilikua nime import mchepuko wangu kutoka Arusha so nika check in kwenye hotel moja bagamoyo tukajipumzisha hapoalhamisi,Ijumaa, Jumamosi jumapili asubuhi tuka check outWakati nafunga mlango wa room nashtuka kumuona mke Wa Rafiki yangu akitoka Chumba mkabala na changu akiongozana na zee moja hivi nao wakifunga Chumba chao shemeji alitetemeka na kupata mshtuko mkubwa hadi yule Mzee kumuuliza kuna niniMchepuko wangu ulishatangulia kwenye gari nikamsalimia shemeji nikamwambia mm ndo na check out nilikua semina ya siku tatu ndo imeisha, akaitikia kwa kichwa tu,Nikapiga hatua za haraka kwenda kwenye Gari ili asiuone mchepuko wangu ambao ulishatangulia kwenye gariJumatatu akanipigia simu mwenyewe akaniambia shemejinaomba unifichie siri sitarudia tena. Nikamwambia naomba tuongee baadae kwa sasa nipo busyMchana wake akanitumia meseji inasomeka hivi "Shem naomba kama vipi tafuta sehemu nije tumalizane kiutu uzima and you stay silence forever " naomba unijibu i can't afford to loose this marriageWakuu nipo njia panda, ingawa mm ni mzinzi na sina utakatifu lakini siwezi kutembea na mke Wa Rafiki yangu kipenzi tulieshibana miaka nenda miakaRudiNa nilishawahi kukaa kwake sana wakati sijapata kazi yy alianza kuja Dar kabla yanguKwa sasa huyu jamaa yupo mkoani kikazi alihamishiwa huko mke alishindwa kumfuata kwa yy mwenyewe ana kazi hapa dar .Jana kanitumia M-PESA laki tano ikisindikizwa na msg kuwa vipi shemeji lile suala letu umeamuaje ukimya wako unaniumiza.Sikujibu kituWakuu naomba muongozo wenuKweli nisimwambie Rafiki yangukuhusu uzinzi Wa mkewe?Na mm ndo nimepewa jukumu la kumuangalizia familia yake kwa mambo mbali mbali kwa kuwa yupo mbaliNawasikiliza wakuu!