Hebu nikuulize wewe mwanamke. Je umewahi kumficha mumeo au mpenzi wako kitu chochote kuhusu maisha yako ya zamani au ya sasa? Je mumeo au mpenzi wako ameshawahi kukushangaza na siri ya mambo yake ya zamani?Inawezekana jibu likawa ndiyo au hapana, lakini kuanzia leo ningependa ujifunze jambo moja kwamba ni siri gani unatakiwakuzitoa na ni siri gani hutakiwi kuzitoa. Usijidanganye kwamba unaweza kuficha kila siri, lakini usijiamini kwamba kwa sababu unaitwa ‘honey’ ukitoa kila siri utaweza kunyoosha uhusiano wenu, thubutuu…………….!Lengo la kuficha jambo ni kwa ajili ya kujilinda. Unaweza kudhani kwamba, kwa kusema siri zako za zamani za masuala yako ya mapenzi utaonekana shujaa utaonekana mwadilifu au utaonekana mcha Mungu. Hapana, kuna wakati kusema kila jambo, kunakufanya ushindwe kujilinda na kumlinda mwenzi wako.Kuna mambo ambayo huna budi kuyatoa, kama siri uliyonayo inaweza kuyumbisha mustakabali wa uhusiano wenu au kuweza kuvunja ndoa yenu. Mtaalamu wa uhusiano na mtunzi wa kitabu cha Is He Mr. Right? Mira Kirshenbaum, anasema, hata mambo ya zamani ambayo yanawezakuleta athari katika uhusiano au maisha ya ndoa (madeni sugu, magonjwa ya kurithi, wapenzi wa zamani, tabia mbaya ambazo ulikuwa ukifanya zamani) inabidi visemwe, kutegemea tu nafasi kama vitakuja kufahamika au la. Lakini kumbuka,kama jambo linafahamika kwa zaidi ya mtu mmoja, siyo siri, litakuja kumfikia mwenzio tu.Kuna wakati wanandoa wanaona kama wamechelewa kutoa siri na hivyo hunyamaza na baadae siri inapofichuka watu wanaanza kuchanganyikiwa. Lakini ukweli ni kutojua tu, pale unapokumbuka siri, ambayo una uhakika itafahamika kwa mwenzio, iseme, usisubiri. Tatizo la siri, ni kuwa huwa inaumiza sana. Kwa binadamuwengi kufuta uongo au usaliti siyo jambo rahisi.Mtu aliyefichwa siri anajiona kwamba alisalitiwa, kwa hiyo hujenga chuki kubwa.Hata kama unaona siri yako ni kuhusu jambo dogo kwako, tafadhali usimfiche mwenzio. Kama ukweli wa jambo hilo utakuja kujulikana baadae, madhara yanaweza kuwa mabaya zaidi kuliko kama ungekuwa umemwambia mapema. Sio kwamba mwenzi wako anahitaji kupata habari ili mshirikiane kutatua jambo lililo mbele yenu, lakini pia anahitaji kwa ajili ya kujua kama unamwamini.Ipo kanuni moja kuhusu mapenzi inasemaunavyozidi kutotaka kuitoa siri ndivyo unavyoiombea ijitokeze ghafla na kuanikwa hadharani. Vipi kuhusu mpenzi wako wa zamani kwamba anaweza akajitokeza ghafla ikajulikana kwa mumeo? Kama unahisi kwamba mwenzi wako anaweza kuja kupata habari za mpenzi huyo wa zamani, basi hakikisha kwamba unamweleza kabla hajatambua.Kujisafisha na wapenzi wako wa zamani nijambo zuri. Bali jaribu kuwa mwangalifu, silazima katika maelezo yako ukaanza kumsimulia mwenzio hata u.pu.u.z.i mliokuwa mkifanya wakati wa mapenzi yenu. Ni wajinga tu ndio wanaofanya hivyo.Wenye hekima husema tu ukweli kwamba,waliwahi kuwa na uhusiano na huyu au yule na fulani na fulani. Hata kama ni kumi,wataje, ili mwenzio aamue mwenyewe, usijidanganye kwamba, hatakuja kujua. Watangulie wambea mapema kabisaa, ili wakija kumnong’oneza awaambie, ‘ninajua’Wapo wanawake wengine huyumbisha uhusiano na weza wao au ndoa zao kwa kufukunyua mambo madogo madogo. Si vyema sana kuleta udadisi kwenye mambo madogo madogo ambayo hata hayana maana wakati mwingine. Usimsumbue mwenzio kutokana na gharama ya simu au kamera yake, hasa kama na wewe hutaki akuulize kuhusu bei ya mkoba au kidani chako…
MATUKIO YA SIKU
-
▼
2015
(667)
-
▼
May
(158)
- USHAURI:MUME WANGU ANANILAZIMISHA TUFANYE MAPENZI ...
- MAPENZI:SOMA HAPA JIFUNZE JINSI YA KUDUMISHA UHUSI...
- HIZI NDIO FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI KIAFYA
- HAYA NDIO MADHARA YA KUNYONYA UKE WAKATI WA KUFANY...
- HAYA NDO MAMBO MAKUBWA YANAYOVUTIA KWA MWANAMKE HE...
- Hizi Ndio Mbinu za kumuweza, Mwanamke Aliye Mgumu ...
- Nimeishi Naye Ndani ya Ndoa Miaka Mitano, Jogoo La...
- +18-PICHA ZA UCHAFU ZA MADENTI WA CHUO ZILIZOZAGAA...
- HAYA WALE MAZIGIOO HUYU HAPA MREMBO ANAETIKOSA HUK...
- KUFUMANIWA NOMA!! JIONEE JINSI JAMAA ALIVYONASWA N...
- HIZI NDIO FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI KIAFYA
- KAMA ULIKUWA HUJUI HII NDIYO SABABU YA MADEMU WENG...
- SHTUKA! Fahamu Mbinu za kutofautisha rafiki na mpe...
- Je, unajua mwenza wako anakupendea kitu gani?
- FAHAMU MADHARA MAKUU MATANO YA KULAMBA SEHEMU ZA S...
- MAPENZI:KUMBE HIZI NDIZO SABABU ZINAZOWAFANYA MWAN...
- HIZI NDIO NJIA TANO KALI ZA KUPATA MTOTO WA KIUME..
- NINAACHIKA KILA MARA KWA SABABU MSIMAMO WANGU WA K...
- HIZI NDO NJIA MUHIMU ZA KUMSHAWISHI MPENZI WAKO KA...
- SHTUKA! KWA NINI UNGOJE ANAYEKUPENDA AKUTOLEE CHOZ...
- HII NDIO SAIZI YA UUME INAYOPENDWA ZAIDI NA WASICH...
- Nimelamba Mchepuko wa Dingi, Kanipa Mambo Matamu S...
- HIZI NDIZO SABABU ZA WANAWAKE WENGI KUCHELEWA KUOL...
- DALILI 10 ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KIMAPENZI LAKIN...
- JE, UTAJUAJE KAMA UMEMKUNA MPENZI WAKO HASWA? JIFU...
- HIPS NOMA_Fahamu Wanawake Wenye Hips naShida Wanaz...
- YAFAHAMU MADHARA SABA MAKUU YA KUFANYA NGONO KINYU...
- JINSI KUZUIA MIMBA KUTUNGA BAADA YAKUFANYA NGONO B...
- MAPENZI:UKIYAONA YAFUATAYO KWA MPENZI WAKO ACHANA ...
- KAMA HAUTUMII VYAKULA HIVI, NGUVU ZA KIUME UTAZISI...
- YAJUE MATIBABU YA NGUVU ZA KIUME KWA WAATHIRIKA WA...
- SHTUKA! ZIJUE SABABU ZAWANAUME KUCHEPUKA!
- Kushiriki tendo la ndoa mara nyingi hakukufanyi uw...
- OGM! .....Irene Uwoya Releases Sexy Photos while T...
- USIJIDANGANYE MWANAUME HAKOMOLEWI!
- SEHEMU 12 ZA KUMSHIKA MWANAMKE WAKATI WA TENDO LA ...
- UKIYAONA HAYA JUA DEMU ANA UCHI WENYE KINA KIREFU ...
- Naombeni Ushauri; Mwanamke Mwenye Jinsia Mbili Ana...
- NAOMBENI USHAURI JAMANI MTOTO WA AUNCLE ANANITESA ...
- Ukiwa Nacho Lazima Uringe...Hii Ndiyo Raha Ya Mwan...
- MREMBO: MPENZI WANGU SIMUELEWI JAMANI! NISAIDIENI ...
- SHTUKA! USIWE MBULULA, UNA HAKI YA KUPENDA ILA ‘US...
- SHOGA: USIMPE NAFASI MUMEO AWE KARIBU NA NDUGUZO!
- KWA NINI WAPENZI WANACHOKANA HARAKA?
- KUTANA NA MBINU MBADALA ZA KUTONGOZA NA KUMPATA MW...
- MAPENZI: UKIMFANYIA HAYA MPENZI WAKO HATOKUSAHAUKA...
- AMESOMESHWA KUANZIA KIDATO CHA KWANZA HADI CHUO NA...
- FANYA HAYA 6 KUZUIA WATU WASIINGILIE MAPENZI YENU
- Mdada Aliyekwambia Kujua Kuzungusha Kiuno ndo Tike...
- USIRUHUSU MUMEO AFANYIWE MASAJI NA MWANAMKE MWENZIO
- The SECRETS of what WOMEN WANT in MEN
- Je, UKUBWA WA UUME au UDOGO WA UUME unasaidia kati...
- JE, WAJUA WANAWAKE WANAVUTIWA NA NINI ZAIDI KWA WA...
- HIZI NDIZO TOP 4 YA STAIRI ZA KUFANYA MAPENZI ZITA...
- Duh Duniani KUNA WATU WAMEUMBWA AISEE!! HEBU CHEKI...
- Madhara kwa Wanaume Wanaopenda Kufanya ngono kinyu...
- Kadri Mwanamke Anavyojiremba Zaidi Hamu ya Kufanya...
- Ukiwa chumbani na mwandani wako, hebu mpe mambo ha...
- Nikinywa Pombe na Kuvuta Bangi ndio Napata Raha Sa...
- Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu.
- Wakubwa Tu!Ona PICHAZ MZUNGU HUYU ANASWA AKINGONOK...
- MKE WA MSHIKAJI: Shem naomba kama vipi nije tumali...
- TAMBUA JINSI YA KUONGEZA MVUTO KWA MPENZI WAKO
- S*x Secrets | The Number One Thing Women Want In Bed
- How to Last Longer During S-3x without Any Difficulty
- Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza...
- I need advice! I really like this guy, but his ___...
- JEUNALITAMBUA HILI KUWA WANAUME MASIKINI NA WASIOJ...
- MKE WANGU SI ATANIUA JAMANI,ANATAKA TUFANYE MAPENZ...
- Ladies: How To Attract The ManOf Your Dreams
- He is always doing this to me,,,, Help Please........
- HATARI SANA! AMINI USIAMINI, UZEMBE HUU UTAKUPOTEZ...
- MADHARA YA KUTOFANYA TENDO LA NDOA KWA MDA MLEFU? ...
- NJIA ZA KUMPATA MPENZI WA MOYO WAKO.
- Love and S-3x After Children: How to Keep the Flam...
- Hakuna asiye na bahati ya kupendwa, Basi tatizo li...
- LAANA Hii!! MREMBO ACHEZA MUZIKI HUKU KACHOMEKA CH...
- Between Coming To America actress & that dress Bey...
- MAMBO YA KUTAFUTA MADEMU HUMU FESIBUKU JIONE YALIY...
- MAPENZI:HUU NDIO UDHAIFU WA WANAUME WA KIBONGO WAW...
- Nimempa Mimba House Girl Hataki Kuitoa Wala Kuondo...
- 4 PICHAZ: DUNIA IMEKWISHA! TAZAMA HUDDAH MONROE AN...
- Is this the future of Kenya? High school girls cau...
- Only 18+>>ANGALIA HII VIDEO JIMAMA LIKIZUNGUSHA MA...
- MKE WA BOSI: ALIPONIGUSA NA CHUCHU ZAKE KIFUANI PA...
- Mwanaume Akikuhudumia/Kukuweka Mjin Cha Moto Utaki...
- Haya ndo mapenzi yalivyo au?
- Ushauri jamani:Jamani Nisaidieni Kufanya Mapenzi K...
- Help Me! Nina Miaka 35 Sijawahi Kufika Kileleni
- SAHAU KUHUSU HUDDAH , ZARI NA MADEMUWOTE WAKALI WA...
- VERA SIDIKA AONYESHA MAZIWA YAKE MTANDAONI LIVE
- YULE MWANADADA ANAJIFANYA AMEZALIWA MARA YA PILI R...
- Miguno ya Kimapenzi Kutoka Chumba cha Jirani Inani...
- Only 18+- HATUA MUHIMU ZA KUFUATA UNAPOMVUA CHUPI ...
- UWIIIIII...PLEASEEEEZZ WAKUBWA TUU 21+.>> JIONEE H...
- Naolewa tu Sababu ya Mimba Yake and Not any Other ...
- Nimependwa na mpenzi wa mtu naomba ushauri
- Mwanamke: Watangulie wambea mapema kabisaa, ili wa...
- HUYU DADA ANAHITAJI MWANAUME WA KU DO NAYE KISA MM...
- Huyu naye!!!Mwanaume Nileyezaa nae haeleweki Nataf...
-
▼
May
(158)