Wednesday 13 May 2015

YAJUE MATIBABU YA NGUVU ZA KIUME KWA WAATHIRIKA WA PUNYETO…..



Karibuni ndugu wasomaji katika blog yetu ya siri za afya bora katika muendelezo huu wa makala za kutujenga kiafya..makala mbili zilizopita niliongelea kuhusu madhara na jinsi ya kuacha punyeto, nilipokea simu nyingi sana za watu waliokiri wameathirika sana na tatizo hilo na wakataka kujua jinsi gani wataondokana na adha hiyo… Wengine niliwapa ushauri tu na wengine niliwapa matibabu yachakula, mazoezi na dawa na kwa sasa wananipigia na kukiri kwamba wameacha punyeto na kupona kabisa madhara ya kupungukiwa nguvu za kiume yaliokua yakiwasumbua kutokana na tabia hiyo.Hiyo ni furaha kwangu kuona kwamba kazi nayofanya inasaidia watu na nguvu zangu hazipotei bure, na ninamshukuru mungu sana kwa hilo. Leo ntaongelea matibabu ya nguvu za kiume kwa watu walioathirika na punyeto ili na wengine ambao hawakupata matibabu yangu wafaidike kama ifuatavyo.Hakikisha umeacha punyeto kabisa: ili upone tatizo hili hutakiwi kua mtu wa kubadilika mawazo hovyo, kama umeamua kuacha basi acha kabisa na futa kichwani kwako. Jisemee moyoni kwamba mimi Fulani nimeacha tabia hii na sitarudi nyuma. Kama wewe ni mtu wa imani shika kitabu kitakatifu kabisa kulingana na imani yako.Amsha mfumo wako wa fahamu na mzunguko wa damu sehemu za siri; hii tunaiita booster, kuna dawatunatoa za wiki moja za kushtua nguvu za kiume zilizokua zimepungua kwa kuongeza msukumo wa damu nyingi kwenda sehemu za siri kutokana na madhara haya ya punyeto kisha ataendelea staili ya maisha safi yaani chakula bora na mazoezi na kua sawa kama zamani..{unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba yangu hapo chini kupata dawa hii kama unahitaji}.Mazoezi:kama wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau nusu saa kwa siku. Inaweza kua kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu ue mzuri na wewe usimamishe uume vizuri. Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza nguvu za kiume.Kula chakula bora cha asili; vyakula vya viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.Kunywa maji mengi sana; kusimama vizuri kwa uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume. Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. piamwili unatoa kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya ziada kwenye uume wako kwa kunywa maji mengi.