Monday 11 May 2015

Madhara kwa Wanaume Wanaopenda Kufanya ngono kinyume na maumbile.


Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).

Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.
Tano: Kuharisha.

Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI).

Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Kila mwenye tatizo aende kwenye hospitali yoyote kubwa iliyo karibu au apige simu namba 0713446035 kwa msaada zaidi. Nina imani madhara kwa wanaume yamesomeka vizuri.
Tiba ya kwanza ni kuachana na mchezo huo kisha unaweza kufanya taratibu zingine za kucheki afya yako.
Madaktari mnasemaje?Ni kweli tezi za figo ni Prostate Glandau mwandishi kakosea kidogo?