Saturday 9 May 2015

MKE WANGU SI ATANIUA JAMANI,ANATAKA TUFANYE MAPENZI KILA SIKU


Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme 
yameongezeka au sijui niseme ana 
nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya 
wiki kama mbili zilizopita amekuwa 
akinilazimisha nifanye mapenzi kila siku 
hapa nilipo kichwa kinaniuma kutokana na 
mabao nitoayo kila siku. 
Leo nimeona nivunje ukimya baada ya 
kuniamsha usiku wa manane nifanye nae 
mapenzi nikamueleza mke wangu utaniua 
naomba tupumzike hata siku tatu mbele 
target yangu ni kuwa baada ya siku tatu 
anatarajia kuingia kwenye siku zake so 
ntapata mapumzo ya kutosha. 
Cha ajabu mke wangu kaanza kulia na 
kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya 
kukataa kufanya nae mapenzi, ilinibidi 
nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja 
hapa nilipo nipo njiani natoka kazini 
ameshanitumia massege ananiambia eti 
niwahi anahamu ya dudu langu nimekaa 
kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza 
alichokiandika kwenye massage yake tena 
kwa sauti ya majonzi. 
Nampenda mke wangu ila ananichanganya 
kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio 
nilikuwa initiator wa mchezo wetu. 
Hebu wadau naombeni mnisaidie itakuwa 
kapatwa na nini hadi amekuwa hivi? Tabia 
hii kaanza tangu niliporudi kutoka safarini 
ambapo nilikaa kule kwa miezi miwili na 
wiki moja bila kushiriki.