Tuesday 29 August 2017

VIDEO: Tundu Lissu apingwa kwa hoja 6

Siku moja baada ya Rais wa chama cha Mawakili Tanganyika Tundu Antiphas Lissu, kuwataka mawakili wote nchini kutokwenda mahakamani siku ya jumanne na jumatano ikiwa ni shinikizo la kuonyesha kupinga vitendo wanavyodai kufanyiwa mawakili wenzao wa IMMMA, ambao ofisi yao ilichomwa moto. 


Leo Agosti 28, 2017 Ameibuka wakili wa kujitegemea Leonard Manyama kutoka kampuni ya Smile Stars Attorneys na kutoa Hoja sita za kupinga agizo hilo alilo litoa Rais Lissu.


TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI