Friday 22 September 2017

VIDEO: Mbowe afunguka mazito kuhusu Lissu

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe leo Septemba 22, 2017 amezungumza na vyombo vya Habari Jijini Dar es salaam kuhusu hali ya Tundu Lissu na mengine yanayoendelea nchini kwasasa. ambapo ameeleza kuwa yeye kama kiongozi wa
Chama anadiriki kusema kwamba mshukiwa namba moja wa shambulio la Tundu Lissu ni vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi hii.


TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI