Tuesday 26 September 2017

Picha: Kim Kardashian wa India awatoa mate vidume

Duniani wawili wawili kama sio jina basi mfanano wa sura au mwili, huko nchini India kuna dada anaitwa Sarah ila maarufu kama Kim Kardashian hii ni kutokana na umbo lake kuwa lenye mvuto kama mke wa rapper Kanye West.


Sarah mwenye watu milioni wakimfutilia katika mtandao wa kijamii wa Instagram amekuwa kivutio kikubwa kwa kuwatoa udenda vidume kutokana na umbo lake ambalo linaaminika kuwa lenye uhalisi na sio la upasuaji.






Je! wewe unampa asilimia ngapi Kim Karadahsian wa India kwa mfanano unavyouona.