Tuesday 26 September 2017

Tazama picha mpya za Kylie Jenner baada ya kudaiwa ni mjamzito

Baada ya tetesi kuibuka hivi karibuni Kylie Jenner kuwa na ujauzito wa rapper Travis Scott, hatimaye mrembo huyo ameibuka kwa style mpya ambayo imeweza kuwashtua mashabiki.


Mrembo huyo ambaye anatoka katika familia maarufu duniani ya Kardashian, amepost picha mbili mpya kwenye mtandao wa Instagram ambazo zinaonyesha mrembo huyo kuna kila dalili kuwa hana ujauzito.


Kwa taarifa zilizosambaa hivi karibuni zilidai kuwa mrembo huyo ni mjamzito na anatarajiwa kujifungua mwezi February mwakani.