Sunday 24 September 2017

Angela Merkel ashinda Uchaguzi Ujerumani

Angela Merkel amepata ushindi kuwa Kansela wa Ujerumani, kwa muhula wa 4, baada ya kupata asilimia 32.5 ya kura kwenye uchaguzi mkuu.

Wakati Mamilioni ya watu nchini Ujerumani walipokuwakipiga kura chanselal Angela Merkel alitarajiwa kupata ushindi.


Bi Merkrel alipiga kura yake huko Berlin huku mpinzani wake mgombea wa SPD wa wadhifa wa chansela Martin Schulz, akipiga kura yake katika mji wa Wuerselen magharibi mwa Ujerumani.


Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa mwendo saa mbili asubuhi saa za Ujerumani na vinatarajiwa kufungwa sa kumbi na mbili alasiri na matokeoa ya kwanza yanatarajiwa muda mfupi baaadaye.