Sunday 24 September 2017

HADITHI PICHA: DADA VUA 10


..........ilipoishia

Basi Sule naye alijikuta anamfuata Lucy ili amsaidie kuchinja mbuzi yule.Lucy alijihisi malkia kwani kitendo cha kumshawishi Sule kilizidi kumpa moyo ya kuwa kile alichokusudia kitafanikiwa.Basi Sule alipo maliza kumchinja mbuzi alimtundika tayari kabisa kumchuna.Lucy Alizidi kupagawa na kumtamani Sule kwani habari za sule alizipata kupitia picha na kondom alizozifuma kwenye begi.Basi Lucy alianza tena kumsemsha Sule" Hiiivi!! wee kaka mbona uko siriaz kiasi hicho!!?"......."Niko siriaz kivipi yaani,Si umeniomba nikusaidie na hapa nafanya nini au niache!!?"..........Lucy aliiremba sauti wakati huo yu karibu kabisa na Sule"Hapana Suye simaanishi hivyo"Aliongea Lucy huku akionekana kumvizia Sule kwa nyuma ili amkumbatie.Sule akiwa hana hili wala lile alishtuka kwani alihisi joto limeongezeka,Mara alisikia kitu laini kimemgusa mgongoni.Kilikuwa ni kifua cha Lucy na mikono akiipeleka pale mbele ya dudu la Sule.Wakati hayo yanaendelea Helena akiwaamebadilishwa maumbile hakuwa mbali na eneo lile.

USISAHAU DOWNLOAD APP YETU KUJIUNGA NASI BONYEZA HAPA>> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.arenazones

Wakati huo kagiza kalikuwa ndio kanaingia,Sule alijikuta kwa mara nyingine anajiingiza kwenye mtego.Mbali na tamaa Sule alizuiliwa kwa nguvu za kishirikina hivyo ni ngumu yeye kuondoka labda aombe nguvu ya mungu ishuke.Wakati huo Helena alifika kabisa pale alipo dada yake pamoja na Sule,Helena alikuwa anawaona na aliona dada yake akiwa anazoeana na Sule,Alitamani kumwambia lakini hana tena uwezo wa kuongea Masikini wa mungu.Helena japokuwa yupo katika umbo la mnyama lakini hisia bado zinamjia kuwa Sule ni kitu kizuri kwake hivyo hawezi kumdhuru mpaka aamrishwe na boss wake ambaye huwa wanamuita Shangazi.Na wakati huo Helena alipita eneo hilo na hakuna alihisi kuwa kuna kitu kimekatiza hapo.

Sule akiwa katika hali ya mshangao kwa kile alichokifanya Lucy aliachia kisu chini na kumgeukia Lucy"Hiivi wewe dada una akili kweli!!!?"..Sule aliuliza huku akimuangalia Lucy uson kwa hasira......"Jamouny we mkakaàa Mbona una hasira kiasi hiçho,Kwani hiki ninachokifanya ni kigeni kwako".....Lucy aliuliza huku akizidi kumsogelea Sule karibu zaidi.Sule alikumbuka kilichomkuta kule kisimani kisha akasema"Hivi Lucy unategemea nini kitatoke endapo Shangazi yako akikukuta unanishikashika hapa!!?".Sule aliuliza makusudi ili ajue Shangazi amechukuliaje kile alichokikuta kule kisimani"Aaaaamh!!! unajua shangazi yangu ni mtu wa kuongea ongea halafu anapotezea"Basi sule kusikia hivyo alijipa moyo labda shangazi kapotezea.Yaani laiti sule angelijua kitu alichofanyiwa Helena na huyo shangazi yao angeondoka haraka ila ndio hivyo hajui.

Wakati haya yanaendelea huku Kule kisimani Shangazi alimaliza kuongea na mizimu yake na alikuwa anarudi nyumbani.Muda huo huo Helena alikuwa yuko pembeni akitazama kina Sule wakimalizia kuchuna yule mbuzi,Walimaliza kisha wakambeba na kumuingiza ndani.Helena akiwa katika hali ya mnyama aliwafuata nyuma nyuma(Alikuwa anamfuata sule kwani bado anampenda) huku roho ikimuuma sana kwani Sule alionekana akicheka na kufurahi kwa story alizokuwa akipigiwa na Lucy.Sule taaratibu alianza kumkubali Lucy na kusahau yalimtokea muda mfupi uliopita.Ukizingatia mwili wa Lucy ulivyo yaani unamshawishi kwa jinsi Lucy alivyo mashallah,Basi Lucy alivyoona sule kashaanza kuingia kingi akaanza kufanya madoido yake ili kumuweka sule kiganjani zaidi.Walivyohifadhi tuu kile kitoweo Lucy alimfuata tena Sule na kumwambia"Sule!!"......"Naam Lucy"......Lucy alifurahia kitendo cha Sule kuitikia hiyo (naam lucy) kwani Sule aliitikia kwa ufundi sana,Ndipo Lucy alipofunguka kwa kusema"Ina maana Sule husikii ishara za macho yangu au unanifanyia makusudi mwana wa mwenzio??"......"Hapana Lucy sio kwamba sisikii bali mi siwezi kufanya hivyo unavyotaka wewe"......Lucy alionekana kufedheheka alimfuata huku akisema"Sawa sule lakini naomba hata kiss basi".Sule alicheka kisha akamwambia"Aaaah!! hilo tuu!! okey Welcome".

Lucy alivyosikia hivyo alifumba macho huku mikono yake na uso vikionesha furaha kwa kile alichokisikia.Alimfuata Sule kisha Taaratibu akamkumbatia kwa mahaba mazito,Lucy alinyanyua shingo yake lakini Sule alishangaa kuona Lucy analia"Wewee vipi tena!!?"Lucy alimtazama Sule huku mkono mmoja ukiyapangusa machozi"Kiukweli sule sikutegemea kama utaniruhusu nikukumbatie na wewe unikumbatie nasikia raha sana yaani ihiiihiiiii!!!".Sule alijona ni mtu wa tofauti sana kwani hajawahi kuona msichana analia kwa mapenzi dhidi yake.Baada ya Sule kuona hivyo basi aliona atimize kile alichokiomba Lucy,Kwanza alimsaidia kufuta machozi kisha taaratibu akazisogeza lips zake karibu na za Lucy,Wakati huo Lucy alikuwa ameyafumba macho kama vile anasubiria sindano imchome.Basi kidume Sule aligusanisha lips zake juu ya lips za Lucy,Hakumpa denda ila alizipepesa kwa juu hali iliyomfanya lucy kubana mapaja yake kama vile anajizuia kukojoa.Ndipo Sule alipoanza kuutoa ulimi wake na kuuchomeka kwenye lips za Lucy,Lucy naye aliupokea kwa kutanua mdomo wake taaratibu"Nsssssssiaaaaaah!!!"zilikuwa ni sauti za Lucy akipokea juice kutoka kwa Sule.

Wakati huo Helena alikuwa akishuhudia hayo yote na alibaki kuumia,Helena aliambiwa amzuie Sule Asiondoke na hakuambiwa amdhuru laiti angeamuriwa amdhuru basi Sule leo ingekuwa ndio mwisho wake.Helena hakuwa na njia nyingine zaidi ya kutazama na kuumia moyoni pamoja na kwamba yu mnyama.Wakati huo shangazi alikuwa njiani anakuja kichwan amebeba ndoo na mkononi lile galoni vyote vikiwa na maji.Shangazi alijaribu kuwaza"Leo nimemkosea sana helena kwani aliniomba msamaha ila sikumsamehe,helena nisamehe mwanangu ila nakuja kukurejesha katika hali yako"Shangazi alikuwa akiwaza lakini aliendelea kufikiria"Lakini kwanini anataka kufanya mapenzi na sule,Na vipi siku Hellena na Lucy wakimjua vizuri huyu sule!!!?Shangazi aliwaza na kuwazua bila kupata majibu.Shangazi pamoja ya kuwa ni mchawi alijikuta akianza kuingiwa na imani ya mungu kwa mbali.....Je kuna kitu gani kimejificha hapa kati??endelea kufuatilia...

Tukirudi huku walipokuwa Lucy na Sule mambo yalikuwa tete.Lucy alimuingiza Sule kwenye chumba wanacholala na Shangazi yao.Sule alijikuta anamsikiliza Lucy kile anachokiongea na hapingi hata kidogo.Sule alipoingia pale alimwambia Lucy"Lakini Lucy mi naona sio vyema mimi na wewe kuwa humu ndani tufanye utaratibu mwingine lakini sio humu ndani".Lucy alifikiria sana akagundua anachokisema Sule ni kweli kabisa,Basi Lucy alimwambia"Sawa ni vizuri pia ila huku hakuna sehem nyingine zaidi ya kuingia vichakani"......Sule alimjibu haraka haraka"Hakuna shida hata huko huko poa tuu".Wakati huo giza lilizidi kutanda ilikuwa ni mishale ya saa moja moja hivi jioni.Basi Taaratibu walitoka ndani huku wakipiga story za mahaba mahaba ,Na helena alizidi tuu kuwafuatilia.Lucy alimwambia sule"Yaani sule nina hamu wee acha tuu"Basi sule alimshika kalio huku akimwambia"Umejaliwa saana yaani twende nikupe mambo bibie"........Usikose sehemu inayofuata

USISAHAU DOWNLOAD APP YETU KUJIUNGA NASI BONYEZA HAPA>> https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.arenazones
SHARE NA MARAFIKI