Sunday 6 July 2014

ETI HUYU MSICHANA AFANYA ULE MTINDO WAKUMTUMIA MPENZI WAKE PICHA ZA UCHI. ONA SASA ZIMEVUJA!


2go lover

Dada zetu bana sijui wataacha lini huu mchezo wakuweka picha mbaya kwenye simu zao.Mnadiliki hata kuwatumia wapenzi wenu picha za uchi bila uwoga duuh! Kila
muda mnaona matukio mtandaoni wenzenu wanavyoaibika lakini hamkomi. Sasa ona naye huyu aliyemtumia mpenzi wake picha za uchi kwenye mtandao wa 2GO.
Jamani ifikie muda mbadilike,
sasa tutaona nyeti zenu hadi lini? Tumechoka sasa, mbona ni shida?
picha ya kwanza
pili