Thursday 24 July 2014

HUYU NI SHEMEJI YANGU KABISA, MKE WA KAKA YANGU....LAKINI UTANI WAKE UMEPITILIZA AANATAKA....NISAIDIEN JAMIIII , SOMA HAPA

Kuna ule utani wa mashemeji lakini utani wa shemeji yangu huyu umezidi ndugu zangu. Siku moja nilikuwa natoka zangu kwenye mizunguko yango ya kila siku mjini, nilipofika nyumbani nilimkuta shemeji yangu nyumbani, kaka alikuwa bado hajarudi. kama kawaida yake akaanza.

“Haya mume wangu kipenzi leo umeniletea nini”  Nikamwambia leo sina kitu wife kesho nitakuletea bonge la zawadi ,akasema wala usijali mume wangu leo nina bongo la zawadi yako, mi nikajua utani...!

Aliniacha sebuleni yeye akaingia chumbani kwake na mimi pia sikukaa sana nilienda chumbani kwangu. Mara tu nikasikia ananiita "shemeji njoo huku tayari", nikatoka, akaniambia njoo huku chumbani kwangu, nikafika ila nikaishia mlangoni akaniambia ingia shemeji.