Sunday 27 July 2014

WAKUBWA TU: UTUNDU NA UBUNIFU FARAGHA NDIO VITU VINAVYOWAKOSESHA RAHA YA MAPENZI....!!

WAPO wanaojuta kupenda lakini mbaya zaidi wapo wanaolia kwa sababu ya 
vitu vidogo vidogo ambavyo vimekuwa haviwaendei sawa katika uhusiano 
wao.Ni jambo lililo wazi kwamba, usaliti umekuwa ukiwatesa wengi tena 
ukijaribu kuchunguza sababu za baadhi ya watu kuwasaliti wapenzi wao, 
kutoyajua mapenzi yaleya faragha ni mojawapo.apo wasichana au niseme 
wanawake ambao kimaumbile wana mvuto sana.Wamejaaliwa uzuri wa sura na 
kila kitu kiasi cha kutamaniwa na kila mwanaume wanayekutana 
naye.Lakini linapozungumziwa suala la mapenzi kwa mwanamke, wanaume 
wanaangalia vitu vingi, achilia mbali hilo la muonekano, pia 
wanaangalia utundu na ubunifu wa faragha. Hapo ndipo panapowakosesha 
raha baadhi ya wanawake wazuri.