Sunday 27 July 2014

NAOMBA MASAADA!! NIFANYEJE MAT'AKO' YASITINGISHIKE NITEMBEAPO?

Mimi ni Binti wa Miaka 21 kwa sasa , Naandika hili kuwaomba wadau 
ushauri..ombo langu kidogo lina utata hasa maeneo ya makalio ki ufupi 
nimejaliwa sana sijisifii ..Pamoja na Kujaliwa huko nimekuwa napata 
shida sana ninapokuwa naenda mahali kutembea ama chuoni kwani maungo 
yangu ya nyuma hutikisika sana kiasi kwamba huamsha hisia za wapita 
njia za zingine mpaka napigiwa miluzi njiani na kushangiliwa kitu 
ambacho sikipendi kwa sasa mpaka nimepunguza mizunguko kwa ajili 
hiyo..Je nifanyanye ili yasitingishike nitembeapo ?